Saturday, July 4, 2015

HII NI KUTOKA HUKO CCM BAGAMOYO

Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo Hemedi Majid Mwanga akifungua mkutano mkuu wa ccm wilaya kwaajili ya uchaguzi wa mwenyekiti mpya wa ccm wilaya  ya Bagamoyo

Wanachama wa CCM wilaya ya Bagamoyo wakiwa katika mkutano mkuu maalum kwaajili ya kuchagua mwenyekiti mpya wa CCM wilya ya Bagamoyo.

No comments: