Sunday, July 26, 2015

ZANZIBAR HAPATOSHI,HAMAD RASHID NAYE ANAUTAKA URAIS,TIZAMA MKUTANO WAKE HAPA

Aliyekuwa Mbunge wa Wawi kupitia
chama cha Wananchi CUF na kauhamia Chama cha ADC-Hamad Rashindiakiwahutubia Maelfu ya wakazi kwenye uwanja
 wa Gombani
wa Visiwani Zanzibar ambapo katika mkutano huo alichukua fomu ya kuwani Urais upande wa Zanzibar
 kupitia chama hicho.

Wananchi wakimsikiliza Hamad rashid

No comments: