Sunday, August 9, 2015

Hii hapa video ya maneno ya mwenyekiti wa arusha akiukana uccm wake leo mkoani arusha



Habari nilizopta muda huu na zimethibitishwa. nikwamba mwenyekiti wa ccm mkoa wa arusha Mh Onesmo Nangole na katibu mwenezi wa CCM mkoa wa arusha wamejiuzulu nafasi zao zote na kujiunga na chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA.

No comments: