Monday, August 10, 2015

Kampuni ya Tigo yashinda Tuzo Maonesho ya Nanenane mkoani Arusha

Meneja Masoko wa Kampuni ya mitandao ya Simu za mikononi ya Tigo mkoa wa Arusha,Aidan Komba(kushoto) akiwa ameshika Kombe la ushindi wa Kwanza katika kundi la Mawasiliano na vyombo ya habari Kanda ya Kaskazini yaliyofanyika jumamosi kwenye kilele za maonesho ya Kilimo Nanenane Njiro mkoani Arusha,katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mahusiano na Uratibu,Dk Mary Nagu na Mkuu wa Mkoa wa Manyara,Joel Bendera.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mahusiano na Uratibu,Dk Mary Nagu (katikati)akimkabidhi Kombe la mshindi wa kwanza katika kundi la Mawasiliano na vyombo ya habari Kanda ya Kaskazini,Meneja Masoko wa Kampuni ya mitandao ya Simu za mikononi ya Tigo mkoa wa Arusha,Aidan Komba(kushoto) yaliyofanyika jumamosi kwenye kilele za maonesho ya Kilimo Nanenane Njiro mkoani.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mahusiano na Uratibu,Dk Mary Nagu (kulia)akimkabidhi Meneja Masoko wa Kampuni ya Tigo mkoa wa Arusha,Aidan Kombe walioshinda nafasi ya kwanza katika kundi la Mawasiliano na vyombo ya habari katika kilele cha Maonesho ya wakulima na wafugaji yaliyofanyika kwenye uwanja  Themi,Njiro  mkoani Arusha.

No comments: