Shikamoo mwanza,Picha zote za lowasa leo zipo hapa
Hii ni leo mwanza lowasa anaendelea na mizunguko yake ya kusaka wadhamini ili wamdhamini aweze kupeperusha bendera ya ukawa kuelekea uchaguzi mkuu,kesho atakua visiwani zanzibari kabla ya kumalizia jijini Dar es salaam
No comments:
Post a Comment