Mgombea Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. John Pombe Magufuli akitoa pole kwa Wafiwa katika mojawapo ya kijiji kilichopo Newala wakati alipokuwa anaelekea Wilayani Tandahimba kwa ajili ya Kufanya Kampeni. Dkt. Magufuli alisimama kijijini hapo kwa muda kwa ajili ya kutoa rambirambi zake kwa familia ya hiyo na baadae aliendelea na safari yake.
No comments:
Post a Comment