Mgombe Urais wa CCM Dkt Magufuli akiwahutubia wananchi wa Muheza kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa CCM mapema leo mchana wilayani humo mkoani Tanga |
Mgombe Urais wa CCM Dkt Magufuli akisisitiza jambo kwa Wananchi wa Muheza waliojitokeza kwa wingi kumsikiliza kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa CCM mapema leo mchana wilayani humo mkoani Tanga |
Wananchi wa Muheza na vitongoji vyake wakiwa wamejitokeza kwa wingi mapema leo mchana wakimsikiliza Mgombe Urais wa CCM Dkt Magufuli,alipokuwa akiwahutubia kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa CCM mapema leo mchana wilayani humo mkoani Tanga |
Wananchi wakishangilia jambo |
Mgombe Urais wa CCM Dkt Magufuli akitoka kwwenye uwanja wa CCM mjini Muheza mara baada ya kuwahutubi kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa CCM mapema leo mchana wilayani humo mkoani Tanga.PICHA NA MICHUZI JR-MUHEZA |
No comments:
Post a Comment