.

Tanga Haina Mwenyewe--LOWASA nusura Asababishe maafa makubwa,mamia wazimia,picha zote zipo hapa

Wananchi waliolazwa chini baada ya kuzimia ni ndani ya mkutano ulioahirishwa Tanga uwanja ulikua mdogo sana. .
TANGA

Chopa iliyombeba Lowassa imeshindwa kutua kwenye eneo la Mkutano kutokana na Umati wa watu waliojitokeza mda huu hapa Tanga
Hivyo imelazimika kwenda kutua airport kisha kurudi uwanjani kwa gari!!
Inaelezwa Tanga ya leo sio ile ya mwaka 47 watu wanataka

Wananchi waliolazwa chini baada ya kuzimia ni ndani ya mkutano ulioahirishwa Tanga uwanja ulikua mdogo sana. . Mgombea wa nafasi ya urais kupitia Chadema anayeungwa mkono na vyama vinne vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi UKAWA, Mh.Edwrad Lowassa amelazimika kuahirisha mkutano mjini Tanga baada ya maelfu ya wakazi waliojitokeza kushindwa kuenea ndani ya uwanja wa Tangamano jijini Tanga


Kwa mara ya kwanza ndani ya jiji la Tanga shughuli zote zinazofanyika katika mitaa ya barabara ya 4, 5,6,7, 8  zililazimika kusimama kwa muda baada ya maelfu ya wakazi wa jiji hilo waliojitokeza katika uwanja wa Tanagmano, hali iliyopelekea kushindwa kuendelea kwa mkutano huo.

Licha ya juhudi zilizofanywa na viongozi wa UKAWA wakiongozwa Fredrick Sumaye za kujaribu kutuliza hali ya mambo kushindikana jambo lililomlazimu Mh.Edward Lowassa kulazimika kusitisha mkutano huo.

Je? Nini kauli ya Chadema baada ya mkutano huu kuvunjika, John Mrema ni meneja kampeni wa Chadema.

Uamti huo wa wakazi wa jiji la Tanga ulionekana dhahili  ulionekana dhahili kuwashinda maafisa wa taasisi ya mslaba mwekundu redcros mjini Tanga.

Akiwa jiji Tanga katika siku yake ya kwanza ya kampeni alifanya mikutano katika maeneo ya Bumbuli Mombo kabla ya kuhitimisha katika uwanja wa Tanagmano mjini Tanga ambapo aliahidi kuboresha sekya ya afya ndani ya siku miamoja baada ya kuapishwa. 

 

 

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.