Mhe. Edward Ngoyai Lowassa akiwasili Tarime mkoani Mara na kupokelewa na wananchi wa Tarime kwa shangwe,vifijo na nderemo wakiimba Rais...Rais...Rais..huku wakielekea kwenye uwanja mkutano wa 77 Tarime mjini leo Jumamosi 10/10/2015 |
"Tarime tunataka maji tumaini letu ni Lowassa" Leo Jumamosi 10/10/2015
Mhe. Edward Ngoyai akiwanadi wagombea udiwani Mugumu wilaya ya Serengeti leo Jumamosi 10/10/2015
Nyamongo na Sirari
No comments:
Post a Comment