Saturday, October 17, 2015

RAIS KIKWETE AAGANA NA WATUMISHI WA WIZARA YA MAMBO YA NJE JIJINI DAR SALAAM-OKTOBA 17, 2015

4

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mabalozi pamoja na wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya nje na ushirikiano wa Kimataifa wakati wa hafla ya kumuaga iliyofanyika katika ukumbi wa ukumbi wa Julius Nyerere International Convention Centre(JNICC) jijini Dar es Salaam Oktoba 17, 2015.
(picha na Freddy Maro)
1
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na balozi wa China Mhe. LU Youqing wakifunua kitambaa katika jiwe la msingi katika eneo litakapojengwa jengo la Wizara ya Mambo ya nje na Ushirikiano wa kimataifa jijini Dar es Salaam.
2
Balozi wa Tanzania Afrika ya Kusini Radhia Msuya na Balozi wa Tanzania nchini India Alan Kijazi wakimkabidhi zawadi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete kwa niaba ya mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nchi za nje wakati wa hafla ya kutunuku tuzo kwa Mhe.Rais  iliyofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere International Convention Centre(JNICC) jijini Dar es Salaam.

No comments: