.

NI UWANJA WA FURAHISHA---RATIBA NZIMA YA KUMUAGA KAMANDA MAWAZO NA WATAKAO KUWEPO


Ratiba ya kuaga mwili wa savimbi jr mawazo AC , uwanja wa Furahisha ni kesho mwambie na mwenzako
Atakuwepo 
Mh lowassa 
Mh Mbowe
Mh sumaye
Mh salim mwalim
Mh issa Mohammed
Wabunge
Mbalimbali
LEMA
Heche
Waitara
Mdee
...
Mawakili wetu wasomi 
Millya
Mallya
Kipeja
.....
Viongozi wa CHAMA kanda za ziwa 
Mikoa yote watakuwepo


MPE na mwenzako taarifa 
Mwambie mawazo 
Kafa Kwa sababu ya haki twende tukamuage

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.