.

SERIKALI IMEJIPANGA KUKUZA NA KUENDELEZA STADI ZA KAZI NCHINI

za1
Mkurugenzi Msaidizi Toka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi stadi Dkt.Jonathan Mbwambo akifafanua kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu mpango wa Serikali wa kuendeleza stadi za kazi kwa kushirikiana na wadau mbalimbali ili kuongeza tija katika sekta zote nchini,kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari Maelezo Bi. Zamaradi Kawawa.
za2Mkurugenzi Msaidizi Toka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi stadi Dkt.Jonathan Mbwambo akiwaeleza waandishi wa Habari kuhusu faida za kuendeleza stadi za kazi ikiwemo kuongeza uzalishaji katika sekta zote nchini,kulia Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari Maelezo Bi. Zamaradi Kawawa.
za3Baadhi ya waandishi wa Habari wakifuatilia mkutano wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi stadi na vyombo vya habari leo jijini Dar eS Salaam uliolenga kueleza mpango wa Serikali kuwawezesha wananchi kupitia mpango wa kuendeleza stadi za kazi unaotarajiwa kuanza mwaka wa fedha 2016/2017.
Picha Zote na Fatma Salum (MAELEZO)

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.