Sunday, December 6, 2015

Kutoka Dar es salaam Jana Usiku Mambo yakawa hivi ni Nyama choma Festival

Ni kijiwe kingine kabisa ambacho kinawakutanisha watu wa nguvu kwenye mikoa mbalimbali Tanzania, hapa inaliwa nyama choma, marafiki wanakutana na kuenjoy good music pembeni, michezo ya watoto, burudani ya live band na mengine mengi.
Hizi ni baadhi ya pichaz kutoka kwenye Nyamachoma Festival iliyofanyika December 5, 2015 viwanja vya Leader Club Dar es Salaam.
 Picha kwa Hisani ya http://millardayo.com/.ENJOY

.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.Msanii wa Bongo Fleva, Belle 9 ni miongoni mwa wasanii waliotoa burudani ya nguvu
DSC_2366
.
.
.Msanii wa Hip Hop, Joh Makini akiwa jukwaani
.
.Weusi wakitoa burudani ya nguvu
.
.Dj Zero kutoka Clouds FM akiwa kwenye machine 1 & 2
.
.Jokate akiwa na marafiki zake

No comments: