Tuesday, December 22, 2015

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN, AKUTANA NA MABALOZI WA KUWAIT NA RWANDA OFISINI KWAKE IKULU DAR.

 Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza
na Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Mhe. Jasem Al Najem, alipofika Ofisini
kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Desemba 22, 2015 kwa mazungumzo. Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
 Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea
zawadi kutoka kwa Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Mhe. Jasem Al Najem, baada
ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam,leo.
 Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa
katika picha ya pamoja na Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Mhe. Nasem Al Najem
na Afisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje, baada ya mazungumzo hayo yaliyofanyika
Ikulu jijini Dar es Salaam, leo.
 Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana
na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Mhe. Eugene Kayihura, alipofika Ofisini
kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Desemba 22, 2015 kwa mazungumzo.
 Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza
na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Mhe. Eugene Kayihura, alipofika Ofisini
kwake Ikulu jini Dar es Salaam, leo Desemba 22, 2015 kwa mazungumzo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa
katika picha ya pamoja na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Mhe. Eugene
Kayihura na msaidizi wake Issa, baada ya mazungumzo hayo yaliyofanyika Ikulu
jijini Dar es Salaam, leo.

No comments: