Thursday, December 3, 2015

Mtandao wenye kasi zaidi wa 4G LTE uliozinduliwa na kampuni ya simu za mkononi ya Tigo kuongeza fursa za kibiashara mkoani Morogoro

Mgeni rasmi ambaye ni mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dr Rajab Rutengwe akiongea na digital manager Samira Baamar wakati akijiandaa kutoa zawadi za washindi wa bahati nasibu, wengine ni binti wa mkuu wa mkoa, Afisa maendeleo ya masoko Shavkat Berdiev (kulia) na mkurugenzi wa Tigo kanda ya Mashariki Goodluck Charles

Wadau waliohudhuria uzinduzi huo wakisikiliza kwa mageni hotuba zilizokuwa zikitolewa.

Mgeni rasmi pamoja na viongozi waliokuwa wamekaa meza kuu wakipiga ngoma kuashiria uzinduzi rasmi wa huduma ya 4G LTE mkoani Morogoro jana.

 Mtoa huduma wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, Neema Mashingia akimsaidia mteja kuhama kutoka huduma ya 3G kwenda huduma ya 4G wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya 4G LTE uliofanyika jana mjini Morogoro.
  Wafanyakazi wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, Suleiman Bushagama (Kushoto) Mutalemwa (katikati) na Ben Mponzi (kulia) wakibadilishana mawazo wakati wa uzinduzi huo.

Mgeni rasmi, mkuu wa mkoa wa Morogoro Dr Rajab Rutengwe akisalimiana na mkurugenzi wa Tigo kanda ya Mashariki Goodluck Charles, katikati ni Afisa wa maendeleo ya masoko Shavkat Berdiev.

No comments: