Thursday, December 17, 2015

MWANDISHI KAROL VINSENT ABEBA GAMBA LA UANDISHI WA HABARI CHUO KIKUU HURIA

Pichani ni Karoli Vinsent
MWANDISHI wa habari za mitandao mbalimbali ikiwemo mtandao wako wa HABARI24 BLOG ,Karoli Vinsent pichani) amefakiwa kumaliza masomo yake ya uandishi wa Habari yaani (Bachelor Degree of arts in Journalism)

Vinsent ambaye amejipatia umaarufu kwenye mitandao kwa kutoa taarifa za uhakika,amejipatia shahada hiyo kwenye Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.

Uongozi wa Mtandao huu unamtakia kila la heri katika kazi yake
Pichani ni Wahitimu wa Shahada ya Kwanza ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano
kwa Umma kutoka Chuo Kikuu huria cha Tanzania
wakifurahia baada ya kutunukiwa shahada
 

No comments: