NAPE AFANYA ZIARA KATIKA KITO CHA MICHEZO CHA JAKAYA MRISHO KIKWETE SPORTS PARK.


2
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza wakati wa ziara maalumu ya kutembelea Kituo cha michezo cha Jakaya Kikwete Sports Park na kushiriki siku ya Albino Tanzania iliyoratibiwa na Kituo hicho kwa ushirikiana na Chama cha Albino Tanzania.Kutoka kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Symbion Power Bw. Paul Hinks, Mkufunzi wa Michezo katika Kituo hicho Bw. Ray Power na Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha Alibino Tanzania Bw. Josephat Tomer.
3
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (wa tatu kutoka kushoto) akimsikiliza kwa makini Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha Alibino Tanzania Bw. Josephat Tomer wakati wa ziara maalumu ya kutembelea Kituo cha michezo cha Jakaya Kikwete Sports Park na kushiriki siku ya Albino Tanzania iliyoratibiwa na Kituo hicho kwa ushirikiana na Chama cha Albino Tanzania.Kutoka kushoto ni Mkuu wa Utawala na Uendeshaji wa Kituo hicho Bw. Richard Mtui, Afisa Mtendaji Mkuu wa Syjmbion Power Bw. Paul Hinks na Mkufunzi wa Michezo katika Kituo hicho Bw. Ray Power.
4
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (wa tatu kutoka kushoto) akifuatilia maelezokuhusu Kituo cha michezo cha Jakaya Kikwete Sports Park kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Symbion Power Bw. Paul Hinks (wa tatu kutoka kushoto) wakati wa ziara maalumu ya kutembelea Kituo hicho na kushiriki siku ya Albino Tanzania leo jijjini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Meneja Uhusiano wa Serikali kutoka Symbion Power Bw. Hitesh Divecha, Mkufunzi wa Michezo katika Kituo hicho Bw. Ray Power na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Bw. Leornard Thadeo (wa tatu).kutoka kulia

5
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (katikati) akitembela baadhi ya miundombinu ya michezo iliyojengwa katika Kituo cha Michezo cha Jakaya Kikwete Sports Park wakati wa ziara maalumu ya kutembelea Kituo hicho na kushiriki siku ya Albino Tanzania iliyoratibiwa na Kituo hicho kwa kushirikiana na Chama cha Albino Tanzania.Kutoka kulia ni Mkufunzi wa Michezo katika Kituo hicho Bw. Ray Power, Afisa Mtendaji Mkuu wa Symbion Power Bw. Paul Hinks na Mkuu wa Utawala na Uendeshaji wa Kituo hicho Bw. Richard Mtui.
6
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akifuatilia maelezo kuhusu matumizi ya baadhi miundombinu ya michezo iliyopo katika Kituo cha Michezo cha Jakaya Kikwete Sports Park kutoka kwa Mkuu wa Utawala na Uendeshaji Bw. Richard Mtui wakati wa ziara maalumu ya kutembelea Kituo hicho na kushiriki siku ya Albino Tanzania leo jijini Dar es Salaam.
7
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akichezea mpira wa Basket katika moja ya viwanjwa vilivyopo katika Kituo cha Michezo cha Jakaya Kikwete Sports Park wakati wa ziara maalumu ya kutembelea Kituo hicho na kushiriki siku ya Albino Tanzania leo jijini Dar es Salaam.
8
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye(mwenye miwani) akiangalia moja ya viwanjwa vilivyopo katika Kituo cha Michezo cha Jakaya Kikwete Sports Park wakati wa ziara maalumu ya kutembelea Kituo hicho na kushiriki siku ya Albino Tanzania leo jijini Dar es Salaam.
9
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiangalia mafuta ya ngozi yanayotumiwa na watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino)wakati wa ziara maalumu ya kutembelea Kituo cha Michezo cha Jakaya Kikwete Sports Park na kushiriki siku ya Albino Tanzania leo jijini Dar es Salaam.
10
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye(mwenye miwani) akifurahi pamoja na baadhi ya wawakilishi wa Chama cha Albino Tanzania wakati wa ziara maalumu ya kutembelea Kituo cha michezo cha Jakaya Kikwete Sports Park na kushiriki siku ya Albino Tanzania leo jijini Dar es Salaam.
PICHA NA: FRANK SHIJA , WHUSM

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.