Lowasa Naye amtembelea Mufti Sheikh Aboubakary Zubeiry,haya ndiyo maneno ya lowasa leo

Leo hii nikimjulia hali mufti wa Tanzania Sheikh Aboubakary Zubeiry ambaye amelazwa katika hospitali ya Muhimbili jijini Dar es salaam.Natanguliza maombi Mungu amsaidie kupona haraka ili arejee katika shughuli zake za kila siku.
About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.