Wednesday, March 16, 2016

TAARIFA KWA UMMA- WAJUMBE WA VIKOSI KAZI VYA KITAIFA VYA NGOME ZA CHAMA CHA WAZALENDO (ACT-WAZALENDO)


                            Tarehe 02. 03. 2016, Sekratarieti ya Chama cha Wazalendo (ACT-Wazalendo) kama ilivyokasimishiwa madaraka na Kamati Kuu ya Chama katika Kikao chake cha Tarehe 13. 02. 2016, imeidhinisha uteuzi wa Wajumbe wa Vikosi Kazi (Task Forces) wa Ngome za Kitaifa za Chama.


Vikosi Kazi vya Kitaifa vya Ngome za Chama vitakuwa na jukumu la kuratibu na kusimamia uendeshaji wa ngome husika hadi uchaguzi wa Chama utapofanyika mwaka 2017. Wajumbe wa  Vikosi Kazi watachagua viongozi wa ngome husika.


Wajumbe walioteuliwa  ni kama ifuatavyo:

NGOME YA VIJANA TAIFA:
1.    Ndugu Edna Mangomango
2.    Ndugu Philip Mallack
3.    Ndugu Licapo Bakari
4.    Ndugu Karama Kaila
5.    Ndugu Angenile Massawe
6.    Ndugu Assaa Abdallah
7.    Ndugu Dickson Bagamba
8.    Ndugu Mwantum Mgonja
9.    Ndugu Haji Shekha Haj

10. Hassan Abdallah

NGOME YA WANAWAKE TAIFA:
1.    Ndugu Mkiwa Kiwanga
2.    Ndugu Chiku Abwao
3.    Ndugu Anastella Mallack
4.    Ndugu Dotto Chacha Wangwe
5.    Ndugu Eva Mpagama
6.    Ndugu Mwanahamisi Semhinga
7.    Ndugu Sixbether M. Mvule
8.    Ndugu Mwanaharusi Nassor
9.    Ndugu Ester Kayamba
10.                        Znz
11.                        Znz

NGOME YA WAZEE:
1.    Ndugu Hamis Hassan Makapa
2.    Ndugu Wilson Mushumbushi
3.    Ndugu Salma Mtambo
4.    Ndugu Hellen A. Chota
5.    Ndugu Mussa ‘Ndevu’
6.     Maneno Ramadhan Suleiman
7.      Abdallah Omar Abdallah

No comments: