Dk. Kigwangalla afungia hospitali mbili muda huu zipo za Raia wa Kigeni

 Naibu Waziri wa  Afya  Dk. Kigwangalla amezifungia hospital mbili tofauti  zinazomilikiwa na Raia wa kigeni wakiwemo kutoka Korea kwa kile walichoeleza kuendesha huduma high bila vibali maalum ikiwemo usajiri wa msajiri wa hospital binafsi pamoja na ule wa msajiri wa tiba mbadala.  Miongoni mwa vifaa vilivyokutwa ni pamoja na vile vinavyotumika mahospitalini na vingine vile ambavyo hawakuruhusiwa.   


 Hospital hizo zilizovamiwa na kukaguliwa ni pamoja na Korea Medical clinic (Kariakoo) Mtaa WA Mahiwa  na nyingine ni Oriental Traditional medicine clinic... Ambazo zote zinazomilikiwa na Mabong. Dk. Kigwangalla ameeleza kuwa watu hao wamekuwa wakitoa huduma bila vibali halali huku pia wakiendesha huduma pasipo kufahamu lugha za kiswahili na Kiingereza.

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.