SAMSON MWIGAMBA AHUDHURIA KIKAO CHAKE CHA MWISHO NDANI YA KAMATI KUU YA ACT

Katibu mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Samson Mwigamba,(wa kwanza Kulia) akiwa katika kikao cha kamati kuu ya chama hicho kilichofanyika jana makao makuu ya chama hicho jijini Dar.kikao hicho ni cha Mwisho kwa Mwigamba akiwa katibu mkuu wa ACT kabla ya kukabidhi kijiti kwa mtu atakayechaguliwa kushika nafasi hiyo leo

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.