AZAM FC WAZINDUA DUKA KUBWA KARIAKOO LA VIFAA VYAO VYA MICHEZO,MUONEKANO MZIMA UPO HAPA

Mkurugenzi mtendaji mkuu wa Timu ya soka nchini Tanzania ya AZAM FC SAAD KAWEMBA  akikata utepe kuashiria kufunguliwa Rasmi kwa duka kubwa la vifaa vya michezo vyenye nembo ya Timu hiyo duka ambalo lipo Dar es salaam kariakoo duka ambalo ni mahususi kwa ajili ya vifaa vya michezo vya Club Hiyo inayoshiriki Ligi kuu Tanzania Bara ikiwa ni historia kwa Timu ya Tanzania kuwa na Duka kubwa na la kisasa kama hilo.
Mkurugenzi mtendaji Wa Timu ya Azam FC SAAD KAWEMBA akiwa ndani la duka hilo la vifaa vya michezo akiwa anaonyesha baadhi ya vifaa mbalimbali ambavyo vinapatikana ndani ya duka hilo vikiwemo T.Shit,Kofia,Mipira,mabegi na vifaa vingine vingi.

Muonekano wa Ndani wa Duka kubwa la Vifaa vya michezo vya Club Ya azam ambalo linapatikana mtaa wa Mkunguni Na swahili jijini Dar es salaam kariakoo Duka ambalo linauza vifaa Vyote vya michezo vinavyotumika na Club ya azam .Kwa Picha zaidi muonekano wa Duka hilo picha zipo chini
About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.