16Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Edward Lowassa leo Jumatatu 27/06/2016 amefuturisha baadhi ya wakazi waishio katika jiji la Dar es salaam akiongozana Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe na viongozi mbalimbali wa Chadema.

WhatsApp-Image-20160627 (9)
WhatsApp-Image-20160627 (8)
WhatsApp-Image-20160627 (7)