Wednesday, June 15, 2016

RAIS MAGUFULI AANDAA FUTARI YA PAMOJA YA VIONGOZI MBALIMBALI WA DINI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

FUT1Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa katika foleni na wageni wake kwenda kuchukua chakula wakati wa kufuturu katika futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini aliyoandaa Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016
FUT2Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es salaam Ndg. Ramadhani Madabida akifuatiwa na Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC)  Lusekelo Anthony ‘Mzee wa Upako’ na wagemi wengine wakipakua chakula  katika futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini iliyoandaliwa na Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli  Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016
FUT3Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea machache baada ya futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini aliyoandaa Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016
FUT4Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea machache baada ya futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini aliyoandaa Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016

FUT7Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipongezwa na kaimu Mufti Sheikh Hamid Masoud Jongo baada ya kuongea machache  katika futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini aliyoandaa Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016
FUT8Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Kadhi Mkuu wa Tanzania Sheikh Abdallah Mnyasi  katika futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini aliyoandaa Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016
FUT9Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na wageni mbalimbali  katika futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini aliyoandaa Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016
FUT10Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mama Shamim Khan katika futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini aliyoandaa Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016. Kushoto ni Mke wa rais Mama Janeth Magufuli akifuatiwa na Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa.
FUT11Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Petro Fr. Stephano Kaombwe katika futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini aliyoandaa Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016
FUT12Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisaliminia na wageni waliohudhuria  futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini iliyoandaliwa na Rais Magufuli  Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016
FUT13Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisaliminia na wageni waliohudhuria  futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini iliyoandaliwa na Rais Magufuli  Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016
FUT14Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisaliminia na wageni waliohudhuria  futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini iliyoandaliwa na Rais Magufuli  Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016
FUT15FUT16FUT17Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akikatika picha ya pamoja na  wageni waliohudhuria  futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini iliyoandaliwa na Rais Magufuli  Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016

No comments: