Saturday, June 11, 2016

TIGO YAFANA KATIKA TAMASHA LA SIMU EXPO

TIGO1Baadhi ya Wateja wa Kampuni ya Simu Ya Tigo wakiwa katika foleni kwa ajili ya kuhakiki simu zao zoezi linaloendelea kwa ushirikiano baina ya makampuni ya simu na TCRA leo jijini Dar es Salaam.
TIGO2Baadhi ya watoa huduma wa Tigo wakitoa huduma kwa wateja wao wakati wa kampeni ya kuhakiki simu kama ni Bandi au Orijino leo jijini Dar es Salaam.
TIGO3Meneja Mauzo wa 4G kutoka Tigo Anthony Assenga akisikiliza maoni ya wateja waliotembelea banda la tigo wakati wa kampeni ya kuhakiki simu kama ni Bandi au Orijino leo jijini Dar es Salaam.
TIGO4Meneja Mauzo wa 4G kutoka Tigo Anthony Assenga akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu muitikio wa wananchi katika zoezi la  kuhakiki simu kama ni Bandi au Orijino leo jijini Dar es Slaam.
TIGO5TIGO5aWatoa huduma wa Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano Tanzania (TCRA – CCC) wakitoa huduma kwa wateja wakati wa kampeni ya kuhakiki simu leo jijini Dar es Salaam.

No comments: