Umeona Hii kali iliyomkuta HALIMA MDEE katika Hoteli aliyofikia KAHAMA

Hii ni story flani ambayo inaweza kukufaa kwa sasa--Mbunge wa kawe yupo KAHAMA kwa ajili ya ule mkutano ambao ulipigwa marufuku na polisi na mabomu kurindima Juzi,Leo story nyingine ni wanachama Kadhaa wa chadema waliokuwa wameshikiliwa mahakamani na leo ilikuwa ni harakati za kuwatoa ambapo inaelezwa kwa jioni hii wamefanikiwa kutolewa kwa dhamana.

Story Ingine ni hii ya HALIMA MDEE mbunge wa kawe kuzuiliwa kuingia Hotelini na wananchi wa kahama wakiwa wanataka kumsikiliza na ikamlazimu kuzungumza na kuwatuliza.
Baada ya hayo HALIMA MDEE aliandika haya katika mitandao yake
 Nimelazimika kufanya mkutano wa hadhara nje ya hotel niliyofikia Kahama baada ya wananchi kuizingira na kunitaka nizungumze nao neno lolote.About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.