MBUNGE WA JIMBO LA UKONGA, MWITA WAITARA AKABIDHI MADAWATI SHULE YA MSINGI KILIMANI .

M1Mbunge wa jimbo la Ukonga, Mwita Waitara, akimkabidhi madawati mwalim Mkuu msaidizi wa Shule ya Msingi  Kerezange dar es Salaam.
M2Mbunge wa jimbo la Ukonga, Mwita Waitara, akimkabidhi mpira mwalimu wa michezo wa shule ya Msingi Kilimani, Abdull Mukhusin,  iliyopo Kipunguni wakati alipoenda kukabidhi madawati kwa shule tatu.
M6
M3Mbunge wa jimbo la Ukonga, Mwita  Waitara akisalimiana na wanafunzi wa shule ya msingi  Kilimani  iliyopo Kipunguni wakati alipoenda kukabidhi madawati kwa shule tatu za jimbo lake.
M5Mbunge wa jimbo la Ukonga, Mwita Waitara akiongea na wanafunzi wa Shule ya msingi Kilimani iliyopo Kipunguni wakati alipoenda kukabidhi madawati kwa  shule tatu za jimbo lake.
Picha na Mpiga Picha Wetu

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.