MBUNGE WA NDANDA MKOANI MTWARA ATIMIZA AHADI YAKE YA UJENZI WA CHOO SHULE YA SECONDARY LUKULEDI

Ujenzi wa choo cha shule ya secondary Lukuledi kata ya Lukuledi wilaya ya masasi mkoa wa mtwara ukiwa umekamilika baada ya diwani wa kata hiyo Victory Antapa kumkataza mbunge wa jimbo hilo la Ndanda Cecil Mwambe asitoe msaada wa kukamilisha ujenzi huo kwa kuwa yeye ni CHADEMAna diwani huyo ni kutoka CCM.lakini baada ya kutoa ahadi yake sasa Jengo hilo limekamilika kama Picha zinavyoonyesha hapo
http://habari24.blogspot.com/2016/07/mbunge-wa-ndanda-aendelea-kutimiza.html

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.