Mh. Ummy Mwalimu Akizundua rasmi mpango wa awamu ya pili kulinda haki za wasichana nchini Tanzania

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii  jinsia Wazee na watoto, Mh Ummy Mwalimu akitoa hotuba   kwenye kikao cha uzinduzi wa awamu ya pili ya kukusanya Nguvu za kulinda haki za wasichana nchini Tanzania leo tarehe 19/8/2016 jijini Dare salaam

Wadau mbalimbali wakiwemo wanahabari wakisikiliza kwa makini wakati Tukio Hilo likiendelea Jijini Dar es salaam
Kutoka kushoto Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo kwa Mtoto Bwana Benedict Missani huku katikati anayeongea ni Bibi Christine Mwanukuzi Kwayu  wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo mpya ambayo ilizinduliwa naWaziri wa Afya Maendeleo ya Jamii  jinsia Wazee na watoto, Mh Ummy Mwalimu  leo tarehe 19/8/2016 jijini Dare salaam

Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii  jinsia Wazee na watoto, Mh Ummy Mwalimu Akizundua rasmi  mpango wa awamu ya pili ya kukusanya Nguvu za kulinda haki za wasichana nchini Tanzania leo tarehe 19/8/2016 jijini Dare salaam


About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.