Wednesday, September 21, 2016

MKUU WA MKOA WA KAGERA AWAPOKEA KILIMANJARO STARS NA KUWAPONGEZA

rck1Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Generali Mstaafu Salim Kijuu akisalimiana na baadhi ya wachezaji wa Kilimanjaro mara baada ya kuwasilini Mkoani Kagera wakitokea nchini Uganda kushiriki mashindano ya CECAFA kwa wanawake ambapo wameibuka mabingwa kwa mwaka 2016.
rck2Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Generali Mstaafu Salim Kijuu akisalimiana na baadhi ya wachezaji wa Kilimanjaro mara baada ya kuwasilini Mkoani Kagera wakitokea nchini Uganda kushiriki mashindano ya CECAFA kwa wanawake ambapo wameibuka mabingwa kwa mwaka 2016.
rck3Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Generali Mstaafu Salim Kijuu akisalimiana na baadhi ya wachezaji wa Kilimanjaro mara baada ya kuwasilini Mkoani Kagera wakitokea nchini Uganda kushiriki mashindano ya CECAFA kwa wanawake ambapo wameibuka mabingwa kwa mwaka 2016.

rck4Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Generali Mstaafu Salim Kijuu akipokea kikombe cha ubingwa wa CECAFA kwa wanawake kutoka kwa Nahodha wa Kilimanjaro Queens Sophia Mwasikili.
rck5Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Generali Mstaafu Salim Kijuu(kushoto) akiinua juu kikombe cha ubingwa wa CECAFA kwa wanawake alichokipokea kutoka kwa Nahodha wa Kilimanjaro Queens Sophia Mwasikili(kulia).
rck6Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Generali Mstaafu Salim Kijuu(kushoto) akipokea Bendera ya Taifa kutoka kwa katibu wa Chama cha Mpira mkoani Kagera Bw. Salum Chama mara baada ya Mabingwa wa CECAFA kwa wanawake Kilimanjaro Queens kuwasili kutoka Nchini Uganda katikati ni Mwenyekiti wa Soka la wanawake Amina Karuma.
(Picha na Idara ya Habari Maelezo)

No comments: