Friday, September 2, 2016

Rais Dkt MAGUFULI azungumza na Wananchi Kisiwani PEMBA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein kabla ya kuhutubia mkutano wa katika uwanja wa Gombani ya kale Chake chake kisiwani Pemba.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mamia ya wanchi wa Pemba katika uwanja wa Gombani ya kale Chake chake kisiwani Pemba.
Sehemu ya  Wananchi Kisiwani Pemba wakifuatilia Hotuba ya Rais Dkt John Magufuli.

No comments: