Thursday, September 29, 2016

TIGO YAWAKUMBUKA WAHANGA WA TETEMEKO MKOANI KWA KUTOA SARUJI MIFUKO 2424


Mkurugenzi wa Mtandao wa Tigo kanda ya ziwa Ali Mswanya(kulia) akizungumza mkoani Kagera alipomkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Salum Kijuu(kushoto)sehemu ya mifuko ya saruji 2424 yenye thamani ya Sh 40 Milioni ,kwa ajili ya waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Salum Kijuu(kushoto) akipokea sehemu ya mifuko ya saruji 2424 yenye thamani ya Sh 40 Milioni kutoka kwa Mkurugenzi wa Mtandao wa Tigo kanda ya ziwa Ali Mswanya,kwa ajili ya waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera.
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Salum Kijuu(kulia) akipeana mkono na Mkurugenzi wa Mtandao wa Tigo kanda ya ziwa Ali Mswanya alipomkabidhi sehemu ya mifuko ya saruji 2424 yenye thamani ya Sh 40 Milioni ,kwa ajili ya waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera,wa pili kulia ni Meneja wa Tigo Mkoani humo Sadock Phares.

No comments: