RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEJI WAKE RAIS UHURU KENYATTA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mwenyeji wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wakiongozana kwenye Ikulu ya Nairobi Oktoba 31, 2016. Rais yuko nchini Kenya kwa ziara ya kikazi ya siku mbili. (PICHA NA IKULU)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya, wakizungumza kwenye mkutano wa pamoja na waandishi wa habarui Ikulu ya Nairobi leo Oktoba 31, 2016


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya, wakizungumza kwenye mkutano wa pamoja na waandishi wa habarui Ikulu ya Nairobi leo Oktoba 31, 2016

 Mazungumzo ya keserikali yaliyoongozwa na marais haona wajumbe wa mataifa hayo mawili

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mwenyeji wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Kenya.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Mambo ya nje wa Kenya Balozi Amina Mohamed mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyata nchini Kenya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride la heshima aliloandaliwa na Jeshi la Kenya mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Nairobi nchini Kenya.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshima mbele ya kaburi la Muasisi wa taifa la Kenya na Rais wa Kwanza wa nchi hiyo Mzee Jomo Kenyatta jijini Nairobi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mwenyeji wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wakati wa kupigwa nyimbo za mataifa hayo mawili

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.