Tuesday, November 1, 2016

PICHA BORA LEO KUTOKA BUNGENI

nge7
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa  Kawe, Halima Mdee kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma  Novemba 1, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
nge9
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma  Novemba 1, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: