Wednesday, December 14, 2016

Tundu Lissu afichua Makubwa ya Ben saanane

Kupotea kwa moja kati ya vijana machachari wa mitandaoni kutoka chama cha Democrasia na maendeleo Chadema Ben Saa nane kumeendelea kuzua Gumzo Nchini Tanzania ambapo leo Mwanasheria wa Chama hicho Mh Tundu Lisu ameibuka na kudai kuwa ana ujumbe wa simu wa Vitisho wa mwisho ambao Ben Alitumiwa,Usikie hapa kwenye Video

Post a Comment