Sunday, March 19, 2017

Erick Shigongo…Paul Makonda Hafai Kuwa Kiongozi Kwa Anachodaiwa Kufanya Clouds FMFrom @ericshigongo – Wiki Chache zilizopita nilimsifia Paul Makonda hapa, lakini kwa anachodaiwa kukifanya Clouds usiku, nafuta sifa nilizompa! Hafai kuwa kiongozi. Kwa Mahali tulipo kama taifa hatuhitaji kiongozi wa aina hii hata kidogo.
Nampenda sana Rais John Pombe Magufuli, sipo tayari kuona rais wangu anatukanishwa na iasi hiki na matendo yanayofanywa na Mkuu wa Mkoa.
NITAMPINGA MAKONDA KILA ANAPOFANYA YASIYOSTAHILI NA NITAMTETEA RAIS WANGU ANAPOTUKANISHWA!
E.J Shigongo
Post a Comment