SIASA

BREAKING NEWSS--CUF WATEMBEZEANA KICHAPO MCHANA KWEUPEE.

Habari zinaeleza kuwa Mkutano wa wanahabari uliokuwa umeitishwa na Viongozi wa CUF kinondoni wanaomuunga mkono Katibu mkuu wa chama hicho Maalim Seif umevamiwa na watu waliokuwa wamevalia Mask na kuwapiga wanahabari na viongozi waliokuwa kwenye mkutano huo uliokuwa unafanyika Katika Hoteli moja Mabibo.Aidha kijana mmoja kati ya wavamizi amekamatwa wakati akikimbia na Kuwekwa chini ya Ulinzi na wananchi.Inaelezwa wavamizi hao walikuwa na Bastola.
Taarifa Hii kwa msaada wa  http://www.mwananchi.co.tz/

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.