HABARI MPYA

INATISHA -PICHA ZA WANAFUNZI 32 WALIOPOTEZA MAISHA KWENYE AJALI KARATU


Baadhi ya miili ya wanafunzi waliopoteza maisha katika ajali hiyo iliyotokea muda mfupi huko Karatu

Wasamalia wema wakiendelea na zoezi la uokoaji 
Gari aina ya costa likiwa limeingia kwenye bonde na kupelekea kupoteza maisha ya baadhi ya wanafunzi 
Wanafunzi wapatao 32 wanahofia kupoteza maisha katika ajali iliyotokea muda mfupi huko karatu. Mpaka sasa chanzo cha ajali hiko kinasemekana ni gari walilokuwa wamepanda wanafunzi hao kuacha njia na kuingia kwenye bonde kama inavyoonekana kwenye picha. Taarifa zaidi zitakujia kadri tunavyozipata kutoka kwa wadau

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.