Katika Salamu hizo alizozitoa Mbele ya wanahabari Leo Sheikh Jalala amesema kuwa huu ni msiba wa Taifa lote na Dunia kwani Tumewapoteza wasomi wa Baadae ambao wangekuwa na Faida kwa Taifa Hivyo ni Jukumu la watanzania Kuwaombea kwa Mwenyezi Mungu ili wapumzike kwa amani,
Sheikh Jalala amewwataka Watanzania kudumisha Umoja na amani katika Kipindi hiki Kigumu
No comments:
Post a Comment