Sunday, June 25, 2017

ANGALIA PICHA ZA MUONEKANO MPYA WA WEMA SEPETU


Msanii wa bongo movie Wema Sepetu ameamua kubadilisha muonekano wake na kwa sasa meamua kutupia kivingine na hizi ni baadhi ya picha zinazomuonyesha muonekano wake mpya.
Wema IsackSepetu alipost picha hizi Instagram na kuwaonyesha mashabiki wake kuwa kaja  kivingine na mashabiki wake wamempongeza kwa muonekao huo kwa sasa kwa kumuita Malkia wa Insta au mwenye Instagram yake.








No comments: