Sunday, June 11, 2017

GOR MAHIA WATWAA UBINGWA,SASA WANAWASUBIRI EVERTON

Naibu Waziri wa Ajira Kazi Anthony Mavunde, akimkabidhi Kombe la SportPes Super Cup, Nahodha wa Gor Mahia baada ya kuibuka washindi katika fainali ya kombe hilo iliyochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru dhidi ya AFC Leopards na kushinda mabao 3-0. Picha kwa hisani ya Montage Ltd

No comments: