Wednesday, June 21, 2017

JE WAJUA? - AFRICA INA MIJI YENYE GHARAMA KUBWA KUISHI KULIKO SEHEMU YEYOTE DUNIANI?


Kwa wengi huenda ikawa tofauti kwenye mawazo kwa kuamini kuwa miji yenye gharama haiwezi kuwepo Afrika. Sasa utafiti uliofanywa na Shirika la Takwimu za Gharama za Kuishi Duniani (Mercer) umeutaja mji mkuu wa Angola, Luanda kushika nafasi ya kwanza duniani kati ya miji yenye gharama kubwa za kuishi.
Afrika pia ina miji miwili yenye gharama ndogo za kuishi ambayo ni Windhoek wa nchini Namibia pamoja na Blantyre nchini Malawi. 

No comments: