Monday, June 26, 2017

Weusi waungana na wasanii wengine ku-UNLOCKS CASTLE LITE julai 22 viwanja vya Leaders

Kundi la weusi wakiwa wamepozi na  Meneja Masoko wa TBL Idara ya Kuunganisha Wateja Afrika Mashariki, George Kavishe juzi usiku, mara baada ya kutangazwa kushiriki tamasha kubwa la  CASTLE LITE UNLOCKS litakalofanyika  julai 22 viwanja vya Leaders jijini Dar Es Salaam













No comments: