Friday, August 11, 2017

TECNO YAJA NA MABORESHO YA KAMERA ZA SIMU

Katika kupiga picha, mwanga una nafasi ya msingi na  unaweza kuleta utoofauuti kati ya picha nzuri na isiyo nzuri.

Mara nyingi watu wamekua wanachanganya kati ya picha iliyopigwa simu na ile iliyotengenezwa kwa kompyuta kutokana na mwanga wa  picha hizo.


Moja kati ya Simu nzuri zilizoko sokon inaywezesha kupiga picha na kumridhisha mtumiaje ni Tecno Camon CX Limited Edition. Kamera ya nyuma ya simu hii inakuja ikiwa na uvumbuzi wa kuwekewa  ringi  iliyojazwa flashi, uvumbuzi huu unaleta  matokeo mazuri kwani unaweza kunyonya giza na kutoa picha zilizo na mng’aro wa asilimia 40 zaidi kuliko picha za kamera za simu zingine.

Tecno Camon CX Manchester City limited Edition  ina flashi ambazo ni laini kwa  asilimia 200 hivyo inasaidia picha inayopigwa kwa  simu hii kutoka na mng’aro wa uhakika, rangi  na pia kutokua na matokeo ya vidoti vyekundu katika macho picha itakapopigwa  na simu hii. Kamera ya simu inakuja na teknolojia maalumu ya “4 in 1” Teknolojia hii inawezesha  picha  kua ang’avu Zaidi kwa asilimia 30. 



Kamera  ya Mbele ya Simu hii ya Tecno Camon CX Manchester City Limited Edition inakuja na flashi mbili za mbele katika mstari , flashi hizi zinasaidia picha zinazopigwa  katika mwanga mdogo au mazingira yanayoendana na hayo zitooke zikiwa na zinaonekana  vizur, hivyo watumiaji wa kamera  hii maarufu kama wapenda “selfie” watapata kile kilicho bora.

Kwa  ujumla inajulikanna kama ni ngumu kupata picha zilizo katika ubora katika mazingira ya usiku  hata hivyo Cammon CX Manchester City Limited Edition imetengenezwa kuweza kukabiliana na changamoto za aina hizi. Ringi yenye flashi nne kwa nyuma inakuja ikiwa na kamera moja kwa moja.

Watumiaji wa simu hii hawatakiwi kuogopa kudhani watahitaji elimu kubwa ya jinsi ya kutumia kamera na flashi zake katika kupiga picha kwa kutumia simu hii, flashi mbili za mbele na nne za nyuma zilizo katika ringi maalumu zitahitaji kuwashwa tu na mtumiaji pale anapoona mwanga ni hafifu eneo alilopo mengine kamera ya simu  

No comments: