SIASA

VIDEO - HALIMA MDEE ALIAMSHA DUDE TENA KWA SERIKALI, ASEMA TANZANIA SIYO YA KWANZA KWA VIVUTIO VYA UWEKEZAJI AFRIKA MASHARIKI


Hayo yamesemwa leo na mbunge wa Kawe kwa tiketi ya CHADEMA amabe pia ni Waziri kivuli wa Mipango Fedha na Uchumi Mh. Halima Mdee kwenye mkutano wake pamoja na waandishi wa habari alipokuwa akijibu hoja za msemaji wa serikali ambae aliyemjibu mwenye kiti wa CHADEMA Mh. Freeman Mbowe.

Halima Mdee alisema kuwa Tanzania siyo nchi ya kwanza kama serikali inavodai kuwa ni nchi ya kwanza kwa kuwa na vivutio vya uwekezaji Afrika Mashariki na kusema kuwa, kwa Afrika Tanzania ni ya tano na kwa Afrika Mashariki ni nchi ya pili ikitanguliwa na Kenya.  


About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.