Wednesday, September 13, 2017

VIDEO - KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU KIMETOA KAULI HII BAADA YA SAKATA LA LISSU

                     
Kituo cha sheria na Haki za Binadamu kimefanya mkutano na waandishi wa habari kutoa kauli yake kuhusiana na mbunge wa Singida mashariki Mh. Tundu Lissu kupigwa risasi akiwa mjini Dodoma.

Akitoa tamko hilo Mkurugenzi Mtendaji wa kituo hicho binadamu Bi. Hellen Kijobisimba alisema kuwa wameshtushwa na tukio hilo na wametoa tamko lifuatalo angalia video hii.

                                          
                                                    Click hapa kuona tamko hilo..
                        

No comments: