Saturday, September 16, 2017

VIDEO - JUKWAA LA KATIBA LANENA HAYA KUHUSU SAKATA LA LISSU KUPIGWA RISASI

Jukwaa la katiba nchini tanzania (JUKATA) leo septemba 16 limefanya mkutano na waandishi wa habari lengo likiwa ni kuamsha mchakato wa katiba na kuongelea mambo kadhaa yaliyotokea hivi karibuni ndani ya nchi yetu.

Akiongea mapema leo katika mkutano huo Mkurugenzi Mtendaji wa JUKATA Bw, Habroni Mwakagenda alisema kuwa mambo mengi yanatokea katika nchi yetu ambayo ni kinyume na katiba yetu na inapaswa kukemewa kwa nguvu zetu zote na kubwa ni hili la Lissu.

                      ANGALIA VIDEO HII MWAKAGENDA AKIELEZA TUKIO VIZURI..

                        

No comments: