Monday, October 9, 2017

VIDEO - ANGALIA HISTORIA FUPI YA MWANAMKE WA KWANZA KUENDESHA TRENI NA JINSI ALIVYOPEWA TUZO NA TGNP MTANDAO

Mwanamke pekee aliyeweza kupambana na mfumo dume katika sekta ya uchukuzi kwa kutumia nyenzo ya Treni ama gari moshi, ameweza kudumu katika fani hiyo kwa miaka mingi sana toka mwaka 1982 mpaka sasa bado anapambana katika kazi hiyo.
Theresia Mahagatila ni mwanamke wa kuigwa katika jamii kwa mengi aliyoyafanya na kuwa mfano mzuri kwa wanawake kujifunza kutoka kwake ili waweze kujiinua kiuchumi kupitia kazi mbalimbali wanazodhania ni za kufanywa na wanaume peke yake.

katika video hii fupi ameelezea mengi sana toka kuanza kwake mpaka alipo sasa angalia video hii ili kujua mengi zaidi kuhusu mama huyu. 

                           Click hapa kuona video hiyo.... 
                       

No comments: