![]() |
| Wasanii wa kundi la Rostam, Roma na Stamina wakiimba kwenye tamasha la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia jumatatu lililofanyika uwanja wa Samora mjini Iringa |
![]() |
Aslay akiimba na mashabiki kwenye tamasha la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia jumatatu lililofanyika uwanja wa Samora mjini Iringa
|
![]() |
| Joh Makini akitumbuiza maelfu ya wakazi wa Mkoa wa Iringa |
![]() |
| Jux akiburudisha wakazi wa Mkoa wa Iringa |
![]() |
| MauaSama akitumbuiza katika jukwaa la TIgo Fiesta |
![]() |
| Nandy akiimba kwa hisia katika jukwaa la Tigo Fiesta mkoani Iringa mapema jumapili iliyopita. |
![]() |
| Ommy Dimpoz akitumbuiza wakazi wa Iringa. |
![]() |
| Vanessa Mdee akitoa burudani na madansa wake katika jukwaa la Tigo Fiesta viwanja vya Samora Mkoani Iringa. |









No comments:
Post a Comment