Wednesday, November 15, 2017

MAMBO MAKUU 6 YANAYOFANYA RAIS MAGUFULI AENDELEE KUWA KIONGOZI BORA


Rais Magufuli ni shujaa na ni mfano wa kuigwa na viongozi wengine kwa moyo wake wa uzalendo na kujitoa kwa kuamua kupambana vita dhidi ya rushwa, ufisadi, ujangili, dawa za kulevya na matumizi mabaya ya madaraka.
Hayo yamesemwa mapema leo jijini Dar es salaam na Mkurugenzi Mtendaji wa Smile Stars Attorney Bw. Leonard Manyama alipokuwa akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake katika kumpongeza rais kwa kazi nzuri anayoifanya.

Mwanasheria huyo alisema kuwa watanzania wanatakiwa kuachana na maneno ya wanasiasa wachache wenye lengo la kuharibu na kufanya Rais Magufuli aonekane kama mtu asiyefaa wakati ni kiongozi aliebeba matumaini ya Watanzania wengi.
Aidha mwanasheria huyo aliendelea kwa kusema kuwa kuna mambo sita ya kujiuliza kuhusu Magufuli na ndipo utakapogundua kuwa ni kiongozi imara na mwenye moyo wa uzalendo kwa taifa lake.


lli kujua mambo hayo makubwa yaliofanywa na Rais Magufuli angalia video hii ndipo utapata jibu na utaamini maneno yake.
                     

No comments: